KAMA BADO HUJAIONA VIDEO YA WIMBO MPYA WA CHRISTIAN BELLA ITUPIE MACHO HAPA …kitu “Pamela”Christian Bella anazidi kubadilika kama kinyonga, ambapo safari hii ameachia wimbo mpya “Pamela” ambao umepambwa na vionjo wa muziki kutoka visiwa vya Caribbean. Itazame video yake.

No comments