KAMA ILIKUPITA HII YA WIZKID NA DAVIDO KUTAKA KUCHAPANA DUBAI, ISOME HAPA

MASTAA wawili wenye upinzani mkali kimuziki nchini Nigeria, Davido na Wizkid wamekunjana nchini Dubai walipoenda kufanya shoo waliyoalikwa.

Mastaa hao walilumbana wakiwa nyuma ya jukwaa huku kila mmoja akitaka awe wa kwanza kupanda kabla ya mwenzie.
Davido alionyesha kutofurahishwa na waandaaji wa tamasha hilo kumpandisha Wizkid kabla yake.

Kundi la mastaa wa Ghana likiongozwa na Sarkodie lilikuwa limeungana na Wzkid kumshambulia Davido.

No comments