KAPOSHOO ASEMA: ‘RAIS WA SASA WA FM ACADEMIA ANA CHANGAMOTO NYINGI’ …asema alitishwa asifanye kazi na Wacongo


Mpiga tumba wa FM Academia, Kaposhoo Tumba amesema rais wa sasa wa FM Academia, Patcho Mwamba bado changamoto.

Kaposhoo aliyasema hayo wiki iliyopita wakati alipofanya mahojiano na kipindi cha Tamba Afrika cha City FM.

Aidha, Kaposhoo pia anasema alitishwa kuwa asijiunge na FM Academia na kwamba hataweza kufanya kazi na wasanii wa bendi hiyo kwa vile Wacongo ni wabinafsi.


Saluti5 inakuwekea sehemu ya mahojiano hayo.

No comments