KAPOSHOO: MIMI NDIYE RAIS WA WAPIGA TUMBA TANZANIA NA MRITHI WA MCD


Kaposhoo Tumba ndiye rais wa wapiga tumba Tanzania na pia yeye ni mrithi wa kweli wa aliyekuwa mpiga tumba maarufu MCD.

Hayo si maneno ya Saluti5 bali ni maneno yake Kaposhoo kupitia mahojiano yake na kituo cha raido cha CITY FM. Msikilize hapa chini.

No comments