KIPAZA SAUTI CHA KHAMIS DACOTA: WASANII WA DANSI WANAISHI ZAMANI LAKINI WAKO SASA


Leo kazi ipo!! Ukisikia mtu kapiga ikulu ndo kama hivi. Khamis Dacota kapiga za chembe kwa wasanii wa dansi.


Khamis Dacota anasema wasanii wa dansi wanaishi kwa mazoea, hawatoi nyimbo nzuri halafu wanaishia kulaumu media. Hebu msikilize halafu utajaza mwenyewe yuko sahihi au la.

No comments