KIPAZA SAUTI CHA KHAMIS DACOTA: WANAMUZIKI WA TWANGA PEPETA WAGOMBEA CHAKULA


Mdau wa muziki wa dansi, Khamis Dacota ambaye pia ni mtangazaji wa Clouds FM na Clouds TV, atakuwa akipatikana Saluti5 kila Jumatano kupitia kona (column) itakayojulikana kama “Kipaza Sauti cha Khamis Dacota”.

Dacota atakuwa akitupia uchambuzi au muono wake kupitia njia ya sauti (audio) au hata kwa njia ya video.

Jumatano ya leo Dacota anaanza kwa kutuletea muono wake juu ya onyesho maalum la Twanga Pepeta lilolofanyika Jumanne usiku ndani ya Vision Lounge (Miti Mirefu) ambapo pamoja na mambo mengi ya msingi aliyoyaongelea, lipo pia suala la wanamuziki wa Twanga Pepeta kugombea chakula. Hebu msikilize hapo chini.

No comments