KIPAZA SAUTI CHA KHAMIS DACOTA: MAPEDESHEE WAPUNGUZE KITONGA KWENYE SHOW ZA DANSI


Kipaza sauti cha Khamis Dacota wiki hii kinazungumzia mapedeshee, maseneta na wadau wa bendi za dansi ambao wamegeuka kuwa mizigo kwenye bendi.

Tiririka nacho mwenyewe kipaza sauti cha Khamis Dacota ambacho hukujia kila siku ya Jumatano.

No comments