KWA SASA PEP GUARDIOLA HAKAMATIKI ENGLAND


Manchester City ipo katika kiwango bora zaidi ya ujuavyo kwenye Premier League ambapo sifa kedekede zinakwenda kwa kocha Pep Guardiola aliyekisuka kikosi hicho na kuwa tishio.

Kwasasa hakuna timu inayopenda kukutana na Manchester City ambayo imeshinda mechi zake zote 10 za mwisho za Premier League.

Kwa miezi miwili mfululilo (Septemba na Oktoba), Guardiola amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi.

No comments