LEICESTER CITY NOMA!!! JAMIE VARDY NA RIYAD MAHREZ WAIANGAMIZA TOTTENHAM


Leicester City imezidi kutibua mipango ya Tottenham kwenye mbizo za kusaka taji la Premier League baada ya kuitungua 2-1 katika mechi iliyocheza King Power Stadium Jumatano usiku.


Mabao ya Leicester City yalifungwa na Jamie Vardy na Riyad Mahrez katika dakika ya 17 na 45 huku bao pekee la Tottenham likifungwa na Harry Kane dakika ya 79.

No comments