LICHA YA KUWINDWA NA MANCHESTER UNITED CESC FABREGAS ALILIA KUBAKI CHELSEA

KIUNGO wa timu ya Chelsea, Cesc Fabregas raia wa Hispania ameuangukia uongozi wa klabu hiyo umpatie mkataba mpya baada ya msimu huu wa sasa kuelekea ukingoni.

Kiungo huyo mwenye miaka 30 amepata ofa ya kujiunga na timu ya Manchester United baada ya kumalizika kwa mkataba wake.


Hii ni timu ya pili kwa Fabregas kuchezea katika jiji la London kwani hapo awali aliwahi kuichezea Arsenal kwa mafanikio makubwa.

No comments