MABOSI WA REAL MADRID WAHAHA KUMBAKIZA RONALDO KIKOSINI

BAADA ya mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo kutangaza azma yake ya kutosaini mkataba mpya kwenye kikosi hicho, mabosi wamekuwa wakihaha kumbadili msimamo wake.

Hata hivyo, Ronaldo mwenye miaka 32 amesisitiza kuwa hajaishinikiza bodi ya klabu hiyo kumpatia kandarasi mpya na wala hatabadili uamuzi wake.


Klabu ya PSG inatajwa kuwa na nafasi kubwa ya kuinasa huduma ya staa huyo wa dunia.

No comments