MADRID KUMTOA BENZEMA NA PESA TASLIM ILI KUMNG'OA HARRY KANE TOTTENHAM

MSHAMBULIAJI wa timu ya Real Madrid, Karim Benzema anataka kufanywa chambo ili kumnasa staa wa Totenham, Harry Kane ambaye anatajwa kuwa kwenye ubora wa hali ya juu.

Madrid wapo tayari kumtumia Benzema mwenye miaka 29 na fedha juu ili kuishawishi Spurs iwauzie Kane.


Real Madrid walitaka kufanya uhamisho huo tangu dirisha kubwa la usajili lakini walishindwa kutokana na utata wa Spurs kuwauza nyota inaowategemea.

No comments