MADRID YAJIPANGA KUMTUPIA “MAGUNIA” ZINEDINE ZIDANE

KLABU ya Real Madrid inapanga kuachana na kocha wake, Zinedine Zidane ambaye amewapa makombe mawili ya Klabu Bingwa Ulaya mfululizo.   

Madrid wanataka kumchukua kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino ambaye anaonekana kukiweka sawa kikosi chake msimu huu.


Mabosi wa Real Madrid wanataka kufanya uamuzi huo kabla ya kufikia katika dirisha dogo la usajili Januari  mwakani.

No comments