MANCHESTER CITY YAANZA KUMNYENGANYENGA RIYAD MAHREZ

KLABU ya Manchester City imeanza kampeni za kumsaka staa wa Leicester City, Riyad Mahrez aliyetimiza miaka 26.

Staa huyo pia anatakiwa na miamba wa Hispania, Barcelona huku mkali wao, Lionel Messi akionekana kuvutiwa na usajili huo.


Mahrez alibaki kwa shingo upande katika kikosi hicho baada ya ofa iliyotumwa na Barcelona kutupiwa mbali na ungozi wa klabu hiyo.

No comments