MANCHESTER UNITED YAANDAA PAUNI MILIONI 40 KUMNASA DANNY ROSE USAJILI WA JANUARI


Manchester United imeandaa dau la pauni milioni 40 kwaajili ya kumnasa beki tatu wa Totteham Danny Rose kwenye usajili wa dirisha dogo la Januari.

Katika mpango huo, United inatarajiwa kumtoa Luke Shaw kama chambo cha kutilia mkazo uhamisho huo.


No comments