MASHABIKI WA BUZA KUIKOSA MSONDO NGOMA DAR SAFARI PARK LEO

MSONDO Ngoma Music Band leo haitakuwepo ndani ya Dar Safari Park, Buza kwa Lulenge, jijini Dar es Salaam kama ilivyo kawaida yao kwa siku za Jumamosi ambapo badala yake watakuwa kwenye shughuli maalum maeneo ya Mbezi. 


Taarifa kutoka ndani ya bendi hiyo kongwe zinasema kuwa mashabiki wataendelea tena kuipata burudani yao kuanzia wiki ijayo na kwamba wanaomba radhi kwa mashabiki kutokana na dharura hiyo pamoja na usumbufu wote utakaojitokeza.

No comments