MOHAMED SALAH ANDELEA KUIMIMINIA LIVERPOOL MAGOLI


Mohamed Salah aliyenunuliwa kwa pauni milioni 38 kutoka Roma ya Italia, ameendelea kuonyesha ubora wake baada ya kuingoza Liverpool kuichapa Southamton 3-0.

Katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England, Salah alifunga mara mbili katika dakika ya 31 na 41 huku Coutinho akifunga la tatu dakika ya 68.

LIVERPOOL (4-3-3): Mignolet; Alexander-Arnold, Lovren, Klavan, Moreno; Wijnaldum, Henderson, Coutinho (Can 69); Salah (Milner 80), Firmino, Mane (Oxlade-Chamberlain 74)
SUBS UNUSED: Karius, Milner, Gomez, Sturridge, Can, Solanke


SOUTHAMPTON (4-2-3-1): Forster; Soares, Van Dijk, Hoedt, Bertrand; Romeu, Davis, Tadic (Austin 55), Boufal (Ward Prowse 69); Redmond, Long (Gabbiadini 79)

No comments