MOHAMED SALAH HASHIKIKI PREMIER LEAGUE STOKE CITY YAKALISHA NA LIVERPOOL 3-0


Mohamed Salah akiingia dimbani kipindi cha pili dakika ya 67, anakwenda kufunga mabao mawili yaliyochangia ushindi wa 3-0 kwa timu yake ya Liverpool dhidi ya Stoke City.

Kwa magoli hayo, Salah anazidi kujikita kileleni mwa chati ya wafungaji bora wa Premie League msimu.

Sadio Mane ndiye aliyefungua kitabu cha magoli kwa kuifungia Liverpool bao la kwanza kunako dakika ya 17 kabya ya Salah kufunga dakika ya 77 na 83.

No comments