MOURINHO AANZA KUTETA NA SOUTHAMPTON KUHUSU KUMPIGA BEI LUKE SHAW

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho ameanzisha mazungumzo na klabu ya Southampton ili kumuuza beki wake wa kushoto, Luke Shaw.

Beki huyo mwenye miaka 22, ataondoka majira ya Januari mwakani na kujiunga na Southampton baada ya wawili hao kutokuwa na maelewano mazuri.


Mourinho alishaweka wazi kuwa hatamtumia tena beki huyo wa kushoto katika kikosi chake cha kwanza.

No comments