MOURINHO ASHEREHEKEA MIAKA 21 YA KUZALIWA KWA BINTI YAKE MATILDE

Jose Mourinho amemtakia heri ya kuzaliwa binti yake mwenye umri wa miaka 21 kwa kuandika maneno yenye kugusa hisia.
Matilde Mourinho akaandikiwa maneno yafuatayo na baba yake: "Heri ya siku yako ya kuzaliwa binti yangu, huu ni mwaka wa 21 wa wewe kutujaza furaha".

No comments