MOURINHO AWATIA MASHAKA MABOSI WA MANCHESTER UNITED... wahofia huenda akatimkia PSG

WAKURUGENZI wa klabu ya Manchester United wameripotiwa kuwa na mashaka na kocha Jose Mourinho kuwa huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu.


Mourinho anahusishwa kutaka kufanya kazi nchini Ufaransa katika klabu ya Paris St-Germain na mara kadhaa amenukuliwa akipongeza miamba hao wa kumwaga fedha za usajili.

No comments