NAPOLI 2-4 MANCHESTER CITY: Sergio Aguero aweka rekodi mpya, pata matokeo ya mechi zote za Jumatano


Sergio Aguero amefunga bao moja kati ya nne wakati Manchester City ilipoitandika Napoli 4-2 katika mchezo wa Champions League kundi F.

Kwa kufunga bao hilo, Aguero anakuwa mfungaji bora wa miaka yote ndani ya Manchester City akivunja rekodi ya mwaka 1930 iliyowekwa na Eric Brook aliyefunga mabao 177.

Magoli mengine ya City yalifungwa na Nicolas Otamendi, John Stones na Raheem Sterling huku yake ya Napoli yakiwekwa wavuni na Lorenzo na Jorginho.

Haya ni matokeo ya mechi zote za Ligi ya Mabingwa zilizochezwa Jumatano usiku

No comments