PSG YAENDELEA KUGAWA DOZI NZITO, YAPIGA 5-0 ... Mbappé, Cavani moto chini

Ikicheza bila staa wake mpya Neymar, klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) imeendelea kugawa dozi nzito katika ligi ya Ufaransa (Ligue 1) baada ya kuitandika Angers 5-0.

Kylian Mbappé na Edinson Cavani wote walifunga mara mbili huku mshambuliaji Julian Draxler  akifunga bao moja.
No comments