PSG YAMTIA COUTINHO KWENYE MAHESABU YAKE YA USAJILI WA JANUARI

KLABU ya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa, imemweka kiungo wa Liverpool, Coutinho katika orodha ya wachezaji itakaowanasa katika dirisha dogo la Januari.


Kiungo huyo mwenye miaka 25, pia anahusishwa kutaka kujiunga na timu ya Barcelona ambao walianza kumfuatilia tangu wakati wa dirisha kubwa lililopita majira ya kiangazi.

No comments