REAL MADRID YAJIPANGA KUWANG'OA DELE ALLI, HARRY KANE TOTTENHAM

KLABU tajiri nchini Hispania, Real Madrid imeandaa mkakati mzito wa kuwasajiri mastaa wawili wa Tottenham; Harry Kane mwenye miaka 24 na Dele Alli aliyetimiza miaka 21.

Mkakati wa Madrid ulikolezwa moto baada ya masta hao kufanya vyema kwenye mchezo wa makundi Ligi ya mabingwa Ulaya ambapo Spurs walishinda mabao 3-1 dhidi ya Madrid.

No comments