RINGO NDANI YA MUVI YA MAPIGANO... ni kitu cha "Una Tamaa?"

MCHEKESHAJI mahiri wa Kibongo, Ringo yuko mbioni kuonekana kwenye muvi mpya ya mapigano inayokwenda kwa jina la “Una Tamaa?”, imefahamika.


Mbali ya Ringo, muvi hiyo ambayo hivi sasa iko katika hatua ya uhariri na ambayo inaandaliwa na kampuni ya Wakali Media, inakusanya pia waigizaji wengine kadhaa kama Nass Maburudani, Mafuriko na Hilda Chimuu.

No comments