ROMA WABABE WA CHELSEA NA USHANGILIAJI WAO WA KUPIGANA DOLE KATIKATI YA MAKALIO


Wakati Roma ikiikalisha Chelsea 3-0 katika Champions League, kituko kikukwa kilikuwa ni namna wababe hao kutoka Italia wavyoshangilia bao lao la pili.

Diego Perotti alikimbia na kwenda kuunganga na wachezaji wake kumpongeza mfungaji Stephan El Shaarawy.

Pengine ni kwa kiwewe cha furaha, Perotti akapeleka mkono wake kwenye makalio ya El Shaarawy na kumpiga dole kwa kutumia chake cha kati.
No comments