ROMARIO: MSONDO NGOMA TUKO JIKONI TUNAPIKA VITU "VITAKAVYOPENDEZA ZAIDI"

ROMAN Mng’ande “Romario” ameposti picha kwenye ukurasa wake wa facebook leo mchana akionyesha namna ambavyo Msondo Ngoma Music Band wako katika maandalizi mazito ya ujio wa kishindo.

No comments