STOKE CITY YASEMA HAINA MPANGO WA KUMUUZA PETER CROUCH

KOCHA wa Stoke City, Mark Hughes amesema kwamba anafahamu staa wake mkongwe, Peter Crouch anahitaji kupata nafasi kubwa kwenye kikosi chake cha kwanza.


Hughes pia alidai kwamba pamoja na umri wa miaka 36 alionao Crouch lakini hana mpango wa kumtia sokoni staa huyo mrefu ambaye amekuwa muhimu kwenye kikosi hicho ambaye amekuwa akitumika kwa mipira ya vichwa.

No comments