TALENT BAND KUSHEREHEKEA MIAKA SABA NA UZINDUZI WA “UAMINIFU MTAJI”


DESEMBA 23, mwaka huu Talent Band inatarajiwa kufanya sherehe kubwa ya kutimiza miaka saba kwenye gemu la muziki wa dansi, sherehe am,bnayo itakwenda sambamba na uzinduzi wa albamu yao mpya ya tano inayokwenda kwa jina la “Uaminifu Mtaji”.

No comments