THIAGO SILVA AMSUBIRI COUTINHO KLABUNI PSG

NAHODHA wa timu ya Paris Saint Germain, Thiago Silva amesema kuwa anatamani kucheza sambamba na kiungo wa timu ya Liverpool, Philippe Coutinho mwenye miaka 25.

Thiago amesema anatarajia kiungo huyo atafuta mpango wa kwenda Barcelona na kujiunga nae PSG mwishoni mwa msimu huu.


Coutinho alikuwa akitakiwa kwa nguvu zote na klabu ya Barcelona lakini uhamisho huo ulikwama dakika za lala salama.

No comments