THIBAUTCOURTOIS: CHELSEA IMEBUGI KUMUACHA NEMANJA ASEPE MAN UNITED

KIPA wa timu ya Chelsea, Thibaut Courtois amesema kuwa klabu hiyo ilifanya kosa kubwa kuruhusu kiungo Nemanja Matic mwenye miaka 29 kuhamia Manchester United.


Thibaut amedai kwamba Matic alikuwa na shauku kubwa ya kwenda Manchester United lakini bado klabu hiyo ilitakiwa kufanya jitihada kumbakiza.

No comments