Habari

WAMEKWISHA ARSENAL! AGUERO AKABIDHIWA KIATU CHA DHAHABU KUWAKABILI WASHIKA BUNDUKI MBONA WATAMKOMA

on

Mshambuliaji tishio wa Manchester City, Sergio Aguero atavaa ‘njumu’ za dhahabu wakati timu yake itakapovaana na Arsenal kweye mchezo wa Ligi Kuu ya England.
Aguero atatinga kiatu hicho baada ya kuweka rekodi mpya Manchester City ya kuwa mfungaji mwenye magoli mengi katika historia ya klabu hiyo.
Nyota huyo wa kimataifa wa Argentina, amefikisha magoli 178 na kuvuka rekodi ya miaka 78 iliyopita iliyowekwa na Eric Brook.
Kufuatia hatua hiyo, Aguero amezawadiwa na kampuni ya Puma One kiatu cha dhahabu ambacho ataanza kukitumia leo dhidi ya Arsenal.
Manchester City striker Sergio Aguero will wear special edition gold boots against Arsenal
 Sergio Aguero atavaa kiatu maalum kwenye mechi dhidi ya Arsenal
The Argentine will wear the gold Puma footwear to commemorate breaking City's goal record
Kiatu cha dhahabu atakachovaa Aguero

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *