ARSENAL YAITUNGUA BATE BORISOV 6-0 KOMBE LA 'FUTUHI'


Arsenal imeichakaza BATE Borisov 6-0 kwenye mchezo wa Europa League au ‘Futuhi’ kama inavyodhihakiwa na Wabongo wengi.

Mabao ya Arsenal yalifungwa na Mathieu Debuchy dakika 11, Theo Walcott dakika ya 37, Jack Wilshere dakika ya 43 huku Denis Polyakov akijifunga dakika ya 51 kabla ya Olivier Giroud na Mohamed Elneny hawajafunga dakika ya 64 na 74.

No comments