ARSENE WENGER APIGA HODI CHELSEA... aanza kumnyatia beki David Luiz

KOCHA wa timu ya Arsenal, Arsene Wenger ameripotiwa kunyemelea huduma ya beki wa timu ya Chelsea, David Luiz mwenye miaka 30.

Beki huyu hana maelewano wazuri na kocha wake Conte ambaye ameamua kumuweka nje ya kikosi chake cha kwanza.


Beki huyo pia anawindwa na kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ambaye anataka kumchukua kwa mkopo. 

No comments