Habari

ASTAN VILLA YANOGEWA NA SAM JOHNSTONE… sasa yataka kumng’oa jumla Man U

on

KLABUya Aston Villa inataka
kumchukua moja kwa moja kipa wa Manchester United, Sam Johnstone ambaye
anacheza kwao kwa mkopo wa muda mrefu.
Wakati huohuo timu ya Arsenal
imeripotiwa kumwinda kipa mwingine wa Manchester United, Sergio Romero mwenye
miaka 30.

Aston Villa wanaweza kufanikiwa
kumnasa Sam Johnstone lakini kwa Arsenal kupata huduma ya Romero inaweza kuwa
mbinde.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *