AUDIO: MAHOJIANO YA TABIA BATAMWANYA NA CITY FM KUPITIA “TAMBA AFRIKA”


Wiki mbili zilizopita, mwimbaji wa kike wa bendi ya Sandton Sound ya jijini Dar es Salaam, Tabia Batamwanya (pichani), alifanya mahojiano marefu na kituo cha City FM kupitia kipindi cha Tamba Afrika.

Tabia Batamwanya amabaye ni mtoto wa mwanamuziki wa zamani, Jumbe Batamwanya aliyetamba na bendi ya Bima Lee, aliongea mengi ya kuvutia kama ambavyo unaweza kumsikiliza hapa chini kwenye clip tuliyokuwekea.

No comments