B BAND YAWAAMBIA MASHABIKI WA DAR ES SALAAM "SORRY, HATUTAKUWA NANYI MKESHA WA MWAKA MPYA"

B Band iliyo chini ya Banana Zorro imewataka radhi mashabiki wake wa jijini Dar es Salaam ambao wataikosa bendi yao katika kipindi hiki cha kufunga na kufungua mwaka mpya wa 2018.


Hata hivyo, imeahidi mambo mengi mazuri pindi itakapotua tena ikitokea mikoani ilipokwenda kumalizia ngwe ya burudani kwa mwaka huu wa 2017.

No comments