BALE AWEKA WAZI: "NITAFIA HAPAHAPA HISPANIA SIONDOKI NG'O!"

MSHAMBULIAJI wa timu ya Real Madrid, Gareth Bale raia wa Wales amesema kuwa hana mpango wa kuondoka katika kikosi hicho.

Bale ambaye anasumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara amedai kuwa hayamfanyi aweze kuondoka kwani mpango wake ni kumalizia soka lake nchini Hispania.


Kumekuwa na uvumi kuwa staa huyo atatua Old Trafford kwenye dirisha dogo la usajili mwezi Januari.

No comments