BARCELONA YAANZA KUSUKA MPANGO WA KUMNG'OA DALEY BLIND MANCHESTER UNITED

KLABU ya Barcelona iko katika hatua za awali kutaka kumsajili beki wa timu ya Manchester United, Daley Blind mwenye miaka 27.

Barcelona inataka kukamilisha usajili huo katika dirisha dogo la mwezi Januari mwakani.


Blind amekuwa hana namba ya uhakika baada ya kocha Jose Mourinho kumtumia mara kwa mara Ashley Young.

No comments