BIG SAM ASEMA LIWALO NA LIWE KUHUSU UWEPO WA ROSS BARKLEY KIKOSINI EVERTON

KOCHA wa timu ya Everton, Sam Allardyce amesema kuwa hatojali kama uongozi utaamua kumuweka sokoni staa wake Ross Barkley katika dirisha la Januari.

Hata hivyo, Barkley ameonyesha nia ya kuongeza mkataba mpya pamoja na uwepo wa ofa nyingi kutoka kwenye timu kubwa.


Klabu za Chelsea na Manchester City zimekuwa zikiwinda huduma ya Barkley lakini Big Sam amesema hata akiondoka hatakuwa na neno.

No comments