CHELSEA WAANZA RASMI FITNA ZA KUMNG'OA AUBAMEYANG DORTMUND

KLABU ya Chelsea imeanza mbio za kuwania saini ya mshambuliaji wa timu ya Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang.

Chelsea ambao wanahangaika kutetea taji la Ligi wanataka kukamilisha usajili huo katika dirisha dogo la mwezi Januari.

Katika usajili huo wanaweza kukumbana na upinzani kutoka Real Madrid ambao pia wanasaka saini ya straika huyo.

No comments