CHELSEA YAMTANGULIZA MICHY BATSHUAYI NA FEDHA JUU ILI KUMNASA WINGA WA MONACO

KLABU ya Chelsea imepanga kumtoa chambo mshambuliaji wa Ubelgiji, Michy Batshuayi mwenye miaka 24 ili kumnasa winga wa timu ya Monaco, Thomas Lemar.

Kuna upinzani mkali kutoka kwenye timu za Liverpool na Arsenal ambazo pia zinahitaji huduma ya staa huyo mwenye miaka 22.


Chelsea wanaweza kufanikiwa katika mbio hizo kwa kumtanguliza Michy na fedha juu.

No comments