CRISTIANO RONALDO ASHINDA TUZO YA BALLON D'OR 2017 … sasa ngoma droo na Lionel Messi


Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji bora wa mwaka 2017 baada ya kushinda tuzo ya Ballon d'Or na kuwabwaga Lionel Messi na Neymar.

Mshambuliaji huyo wa Real Madrid na Ureno sasa analingana na Messi kwa kutwaa tuzo hiyo mara tano.


No comments