EDEN HAZARD BADO KIDUUCHU KUTUA REAL MADRID

KLABU ya Real Madrid inakaribia kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa timu ya Chelsea, Eden Hazard mwenye miaka 26 ambaye anahusishwa na kutua Bernabeu mwezi Januari.

Bilionea Roman Abramoach aliweka wazi kuwa hana mpango wa kumuweka sokoni mshambuliaji huyo katika dirisha lolote.


Wakati huohuo, kiungo Marco Asensio mwenye miaka 21 amesema kuwa ataondoka Madrid ikiwa Hazard atajiunga na kikosi hicho.

No comments