FAMILIA YA SELENA GOMEZ KUWAUNGANISHA BINTI YAO NA JUSTIN BIEBER

HIVI karibuni imebainika kuwa familia ya mwanamuziki kinda wa Marekani, Selena Gomez bado inamuona Justin Bieber ndio mwanaume sahihi kwa ajili ya binti yao.

Wawili hao kila mmoja anakula bata kivyake ambapo Selena alikuwa na familia yake Texas huku Justin Bieber akiwa nchini Canada.

Wakati wa mapumziko hayo ililipotiwa kuwa familia ya Selena ilihitaji kuambatana na Justine ambaye alionyesha utajiri.

Selena alikuwa kikwazo katika kujumuika nae baada ya kusema kuwa ni mapema sana kuwaunganisha pamoja.

Familia ya Selena inafanya kila liwezekanalo kuhakikisha Selena na Bieber wanarudiana kimapenzi kama zamani.

No comments