FC BARCELONA YAANZA KUNYATIA SAINI YA CHRISTIAN ERIKSEN

KLABU ya Barcelona imeanza kunyemelea saini ya kiungo wa Tottonham, Christian Eriksen raia wa Denmark.

Staa huyo mwenye miaka 25 anaweza kutua Nou Camp katika dirisha la Januari baada ya pande zote mbili kukubaliana.


Spurs na wao pia wanajiandaa kumnasa beki wa Fulham, Ryan Sessegnon ili kuziba nafasi ya Danny Rose.

No comments