FM ACADEMIA "WAZEE WA NGWASUMA" KUITEKA DODOMA LEO USIKU


Bendi ya FM Academia “Wazee wa Ngwasuma” leo usiku watakinukisha Dodoma katika onyesho maalum la mkesha wa Uhuru Day.

Burudani hiyo ya FM Academia itamiminwa ndani ya ukumbi wa Perugina Club.

FM ambayo iko chini ya uongozi imara wa Patcho Mwamba, itatumia onyesho hilo kutambulisha vionjo vipya na nyimbo mpya.

No comments