GUARDIOLA: MPANGO WANGU NI KUSAKA BEKI WA KATI TU DIRISHA DOGO LA JANUARI

KOCHA wa timu ya Manchester City, Pep Guardiola mpango wake ni kusaka beki wa kati katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari mwakani.

Guardiola amepanga kumnasa staa wa Southampton, Virgil van Dijk au Inigo Martinez wa Real Sociedad’s.


Kocha huyo ambaye kikosi chake kinaongoza msimamo wa Ligi, amepanga pia kusajili beki wa kushoto Januari.

No comments