JACK WILSHERE NJIAPANDA ARSENAL

KIUNGO wa England, Jack Wilshere mwenye miaka 25 amebaki njiapanda baada ya suala lake la kupewa mkataba mpya kuendelea kupigwa danadana.

Arsenal mpaka hivi sasa haijakaa meza moja na Wilshere kujadiliana nae suala la kuongeza mkataba, jambo linalomfanya kiungo huyo kubaki njiapanda.


Wilshere amekuwa akikumbana na majeraha ya mara kwa mara, jambo linaloifanya Arsenal isite kumuongezea ulaji.

No comments